Wadau huyu ni kiungo muhimu sana kwenye kikundi chetu,anafahamika kwa jina la Andembwiso,au kwa jina la kisanii Sebo. Huyu yupo kwenye idara ya kusimamia matumizi ya fedha na kutafuta masoko,huwezi kuamini jinsi anavyojituma.Upo juuuuuuuuuuuuuuuuu
Sorry kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu,tunaomba radhi kwa kutokuwa na historia yetu kwa leo.Lakini tunajitahidi tuweze kukuletea haraka iwezekanavyo
No comments:
Post a Comment